Kila tulichonacho ni upendeleo tu wa Mungu

 Tutaidanganya mioyo yetu tukiona kila tulichonacho tulikipokea kwasababu tulistahili. Ukweli ni Neema tu imetubeba,  wala hatuna cha kujivunia zaidi ya Yesu. Nje ya Yesu aibu yetu haitasitiriwa, Nje ya Yesu tutarudi katika ufu. YESU NI TEGEMEO LETU, KWAKE TUMESHIKANISHWA NA KUFANYWA KAMILI.

Previous
Next Post »