Showing posts with label PACKAGE OF TODAY. Show all posts
Showing posts with label PACKAGE OF TODAY. Show all posts

PACKAGE OF TODAY: Jifunze kuwa mwenye shukrani

  Unapotamani usichonacho kumbuka kuwa wako wengi wanatamani ulichonacho. Jifunze kuwa mtu wa Shukrani hata katika vichache ulivyonavyo. Kwa...
Read More

PACKAGE OF TODAY: Ujasiri 💪

  Moja ya ujasiri  na kipimo cha nguvu ni kukubali umekosa pale unapogundua umekosa pasipo kujali watu watakuonaje au walikua wana kuchukuli...
Read More

PACKAGE OF TODAY: Je, njia unayotumia kutatua tatizo unaichunguza vizuri?

  Ni kweli nia ya ndani inaweza kuwa ni kutatua tatizo lakini namna au njia tunayotumia kuondoa/kutatua tatizo inaweza  kuongeza tatizo ling...
Read More

PACKAGE OF TODAY: Tuliumbwa kubadilisha mazingira

   Hakuna namna unaweza kuuzuia ulimwengu kukuona vile unakuona zaidi ya kubadili vile ujionavyo. Hatukuumbwa kubadilishwa  na mazingira  il...
Read More