Erasto Augustino Mwashinga


Image may contain: 1 person, standing and suit
Ni mwimbaji chipukizi wa nyimbo za injili anayefanya vizuri sana. Pamoja na kuwa mwimbaji pia ni Producer katika studio za E.M Records. Erasto anatamba na wimbo wake "Thamani yangu", pia anasifika kwa kazi nzuri ya wimbo wa "Wewe Uko Hapa" wa Judith Mbilinyi alioufanya kama offer. Pamoja na changamoto za kukua kwa teknolojia bado Producer huyu anajitahidi sana kukumbana nazo na kufanya muziki makini sana.

Anatengeneza muziki kwa gharama nafuu zaidi sana, na muziki unakuwa na viwango vya hali ya juu. Anapatika Arusha mjini.


Mawasiliano:

Simu: 0717 381 981

Facebook | || Instagram

Maoni
Previous
Next Post »