Kuomba kwa ajili ya viongozi wako_Judith Mbilinyi




Leo nikukumbushe tu katika jambo hili...jifunze kuwaombea viongozi wako wa nchi na wote wenye madaraka juu yako kwa sababu kwa maamuzi yao yananafasi kubwa sana kukupelekea kutimiza au kutokutimiza kusudi La MUNGU uliloitiwa duniani...Jifunze kwa Musa kipindi anazaliwa na Yesu alipozaliwa...
MUNGU AKUPE KUELEWA HIKI NINACHOKISEMA...
 BWANA ASIPOULINDA MJI WAULINDAO WAKESHA BURE...
LAKINI KUMBUKA YA KUWA WEWE UNAAMUZI YA MWISHO KATIKA ULIMWENGU WA ROHO JUU YA NINI KIFANYIKE KATIKA NCHI YAKO...SOMA YEREMIA 1:11

By Judith Mbilinyi
0762372408
judithmbilinyi@gmail.com
Previous
Next Post »