Martin Mackenzie_Umeketi Juu Sana

Jina       : Martin Mackenzie
Wimbo : Umeketi juu sana
Album  : Unnamed

Martin Mackenzie anazidi kufanya vizuri katika muziki wa injili. wengi wamesifia kipaji chake katika uimbaji na wimbo huu umefananishwa na uimbaji wa mwimbaji mkubwa nchini John Lisu.

Ni nini maoni yako?

Karibu usikilize



Mawasiliano:
Facebook |

Tel: +255 714 635 446,  


Mwachie maoni yako hapa


Previous
Next Post »

1 comments:

Write comments
Unknown
AUTHOR
1 April 2017 at 01:15 delete

Amen mbarikiwe wapendwa Wangu Ni maombi yangu Mungu anifanye kua unique but hata hivo cjafanana chochote na Kaka John lissu nawapenda mbarikiwe

Reply
avatar