​​​KUSOMA NA KUISHI NENO​​​

​Albert Ochieng​✍🏼


1Petro 2:9
​​​Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu. Mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliewaita mtoke gizani, mkaingie katika nuru yake ya ajabu.​​​

Kuna tofauti kati ya ​​​KUISHI NENO​​​na kushika vifungu vya Biblia. Ibilisi ameanzisha kitu cha kufanania ili kukengeusha wana wa Mungu.

Wakristo wamejikuta wana maandiko ya kutosha kichwani lakini sio ​​​MOYONI.​​​ Neno akikaa moyoni humbadilisha mtu na kuwa ​​​KIUMBE KIPYA KABISA.​​​

Uko hivyo ulivyo kutokana na kiwango cha Neno ulilotunza na kuamini moyoni mwako. Mungu anatamani uwe 1Petro 2:9 hivyo basi ​ACHA KUSOMA NENO KAMA HADITHI ANZA KULIISHI.​.

​​​Watumie wengine wengi hata tufike miisho ya dunia.​​​🌍

Contact: 0753812881
Insta- Albert_ochieng
Previous
Next Post »