Kwizera Elijah_Ngwino

Baada ya wimbo wake uitwao Wasitahili, nyota wa muziki wa injili kutoka nchini Burundi ametoka na wimbo wake mpya uitwao Ngwino. Huu ni wimbo uliimbwa kwa lugha ya Kirundi, ukitoa ujumbe "Njooni kwangu, ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha."

Sikiliza, pakua na mwachie maoni
Mwachie maoni yako hapa

Previous
Next Post »