Fanya jambo_Anosisye Ford

Anosisye Ford ni mwimbaji wa nyimbo za injili ambaye ni chipukizi. Alianza huduma ya uimbaji akiwa mdogo na sasa hivi amefanikiwa kurekodi Albamu moja inayoitwa "Fanya jambo" katika mfumo wa sauti "Audio". Huu hapa ni wimbo wake unaobeba Albamu.
Previous
Next Post »