Judith Mbilinyi aja na Audio CD mpya

Mwimbaji chipukizi wa nyimbo za injili hapa nchini Tanzania 🇹🇿 , amezindua albamu iitwayo "MAISHA YANGU" katika mfumo wa audio. CD 💿 zitaanza kupatikana kwake, kuanzia siku ya leo tarehe 19.05.2019 pale jijini Mwanza katika tamasha la wanawake.
Ewe mkazi wa mwanza, hii si ya kukosa!
Weka order yako sasa.... Cd zinapatikana kwa TZS. 3,000/= tu.
Kwa mawasiliano zaidi,
Previous
Next Post »