Haijarishi namna watu wamekuja kwako, lipo kusudi

Hakika Yesu hajawahi kuwapitisha watu kwenye maisha yetu kwa hasara. 


Moja ya jambo tunahitaji ni hekima ya namna ya kuishi na watu ambao Mungu anatuletea. Wengine huja katika namna hasi na wengine chanya lakini nyuma yao huwa lipo kusudi.

Previous
Next Post »