PACKAGE OF TODAY: Uhalisia wa tabia ya mtu hudhihirishwa na uhusiano alionao

 

Usiridhike na vile Rafiki yako wa karibu anavyomjibu au kumfanyia vibaya mtu  mwingine kwasababu amemzoea au kwasababu ya kumzidi katika nyanja tofauti, siku akikuzoea na wewe au kiwango chako kikishuka kuliko cha kwake atakujibu vile vile alivyomjibu yeye... Uhalisia wa tabia ya mtu hudhihirika zaidi kwa vile anahusiano na watu walio chini yake kimafaniko, watu walio Chini yake Kimamlaka.

https://t.me/packag4Bofya hapa jiunge na channel ya Telegram upate kifurushi chako kila siku

Previous
Next Post »