Hatufurahi katika hali tunayopitia Bali tunafurahi katika Bwana. Furaha yetu haizalishwi na mambo kuwa shwari au kutokua shwari, Furaha yetu ni katika Bwana
Furahini katika Bwana sikuzote; tena nasema, Furahini.
Flp 4:4 SUV
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon