*KUCHUKULIANA*
Ukweli ni kwamba Kila mmoja anao udhaifu. Ni nini unafanya pale unaposikia/ unapotambua udhaifu wa Rafiki yako? Je unamuacha? Je unatafuta mahali pa kusema na kumtangaza katika udhaifu wake?
Maandiko yanatuagiza nini pale Tunapogundua udhaifu wa wengine?
Unapotambua udhaifu wa mwingine, mshauri, muombee, muonye, muelekeze kwa upendo. Usimseme vibaya kwa wengine maana ni kujisema mwenyewe (kumbuka wawili hawawezi kwenda pamoja wasipopatana). Kila mmoja anayo nafasi ya kubeba udhaifu wa mwingine, kuombeana , kuelekezana mpaka wote kufikia ubora
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon