Tusijihubiri sisi, tumhubiri Kristo

 Tukijihubiri sisi tunaamsha hisia za watu ambazo Baada ya muda hupotea. Tukimuhubiri Kristo, hatuamshi hisia ila huleta wokovu kwa kila anayesikia, na kisha badiliko. Na imani ya watu hujengwa kwa Kristo.


2 Wakorintho 4:5

Kwa maana hatujihubiri wenyewe, bali Kristo Yesu ya kuwa ni Bwana; na sisi wenyewe kuwa tu watumishi wenu kwa ajili ya Yesu. 

2 Kor 4:5 SUV

ConversionConversion EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng