Ashery Willy ni mwimbaji chipukizi wa mziki wa injili. Amekua katika familia ya ambayo ilimfanya yeye kuwa mwanamuziki wa muziki huu wa injili. Alianza rasmi kazi ya uimbaji mwaka 2014 na mpaka sasa ana nyimbo tatu tu. Nyimbo hizo zimetumia lugha mbili yaani Kiswahili na Kiingereza. Wimbo mmoja ni wa kiswahili "Atakufuta machozi"
Anapendelea sana kusoma vitabu na pia ana ndoto za kuandika vitabu nje ya muziki. Aina ya vitabu anavyotegemea kuviandika ni vile vya hamasa "Motivational & inspiration Books".
ConversionConversion EmoticonEmoticon