Kuwa makini na unaowaruhusu katika maisha yako

"Kuna mtu au watu au makundi ya watu  ambao huwa tunawapa nafasi kubwa ya kuingia katika maisha yetu kibinafsi  na kujiambatanisha nao kwa uhuru mkubwa kwa sababu zetu binafsi au hisia zetu tu, pasipo kutafakari kwa makini kuwa tunazuia maono yetu wenyewe, tunajiziba macho yetu wenyewe ili tusione mbali wala kuweza kupiga hatua za kimaendeleo".

*#NGUVU_YA_KUAMBATANA*


Norah Bernard, Divine Favor
Previous
Next Post »