Ndege wafananao huruka pamoja

"Ndege wanaofanana huruka pamoja, wewe wafananishwa na tai, yakupasa kujifunza tabia za tai, ufahamu ni mazingira gani tai anaishi, nini anafanya nini, nini anakula nini hali, hafanyi, huongozana na nani na nani haongozani nae, n.k.
Jifunze tabia za tai na uache kuongozana na kuku. 
Usijidharau na pia usijisahau. 
Achana na kuku, asiye na uwezo kama wako ingawa nyama yake ni tamu lakini hana uwezo wa kuruka juu zaidi, asije akasababisha nawew ukageuzwa kuwa kitoweo.
Utamu wa nyama yake, na mayai yake usikuzuzue.. Angalia kusudi la kuumbwa kwako. 
Tanua mbawa zako, Uruke na Tai Wenzako".

*#NGUVU_YA_KUAMBATANA*


Norah Bernard, Divine Favor
Previous
Next Post »