​​​ULIMWENGU WA ROHO​​​

Albert Ochieng​✍🏼

Yohana 3:13
​Wala hakuna mtu aliepaa mbinguni ila yeye ALIYESHUKA kutoka mbinguni yaani mwana wa Adamu.​

Bwana Yesu na roho mtakatifu ndio wanao shuhudia mambo ya mbinguni (spiritual realm). Ni mpaka ​​​UAMINI​​​ ndipo utakapoona mambo ya rohoni kuwa halisi kwako.

Inua imani na kukaza macho yako katika vitu vya rohoni kwasababu tumazaliwa kwa namna ya roho hivyo usitie shaka kwa utakayo yaona. utaona mengi ila lipo lililokusudiwa na roho atakushuhudia.

Huko rohoni ndipo kuna mafunuo ya biashara, huduma, mambo ya ndani kuhusu wewe nk. Maana tumebarikiwa kwa baraka zote za rohoni hivyo ukiwa katika roho  hakuna lakukushinda maana hao ndio wana wa Mungu waushindao ulimwengu.

​​​Watumie wengine wengi hata tufike miisho ya dunja.​​​🌍

Contact: 0753812881
Insta- Albert_ochieng
Previous
Next Post »