Albert Ochieng_Naringia Yesu Wangu (Dori Dori)

Albert Ochieng ni mwimbaji chipukizi wa nyimbo za injili. Wimbo wake wa Naringia Yesu wangu umempa umaarufu sana hata kabla ya kukamilika kwake. Mashabiki wake wameufahamu wimbo huo kama Dori Dori, na umepokelewa vizuri kabisa.


Mawasiliano:

Facebook | Instagram | YouTube
Email: albertochieng58@gmail.com
Simu: +255 753 812 881


Previous
Next Post »

1 comments:

Write comments
Unknown
AUTHOR
9 April 2017 at 21:05 delete

Kaz nzr kwakweli ubarkiwe

Reply
avatar