Ashery Willy_Malangoni Pako

Baada ya kutamba na nyimbo za "Yesu atakufuta machozi", "It's Lord You've done" na "Your Love Lord", mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania Ashery Willy amekuja na wimbo mpya "Malangoni Pako"

Karibu usikilize, sambaza kwa marafiki. usisahau pia kumwachia maoni yako.

Mawasiliano:
Simu: +255 675 606 698
email: AsheriWilbard@gmail.com
Facebook | Instagram | YouTube


Previous
Next Post »