Rogate Kalengo_Kuna namna


Image result for rogate kalengo

Jina la Rogate Kalengo siyo jina geni kwa wapenzi wa muziki wa injili nchini Tanzania na katika ukanda mzima wa Afrika Mashariki na kati. Rogate alikuwa mshindi wa tatu katika mashindando ya Gospel Star Search mwaka jana. Wimbo huu umekuwa faraja kwa watu wengi na wengi wameona namana Bwana anavyofanya kazi katika maisha yao. Tuungane naye kuusikiliza wimbo huo.

 Mawasiliano:

 Facebook || Instagram || YouTube Email: rogatekalengo@gmail.com Simu: +255 752 254 801 au +255769103087

Previous
Next Post »