Wewe ni mtoto wa Mungu

"Wewe ni mtoto wa Mungu, mtawala, unatawala naye, umeketi alipoketi Kristo, umeumbwa na kutengenezwa kwa ajili ya ukuu na mambo makuu na makubwa, kuwa tayari, Amua mwenyewe kuwaachilia na kuwaondoa watu wasiofaa katika kusudi la maisha yako. 
Uwepo wao waweza kuwa zuio na mtego wa kukuangusha, kukurudisha nyuma, au kukuzuia kuufikia ukuu na urithi ulioandaliwa". 

*#NGUVU_YA_KUAMBATANA*


Norah Bernard, Divine Favor
Previous
Next Post »