TANZANIA FEMALE MUSICIAN (TFM)

Tanzania Female Musician ni kikundi cha waimbaji wa kike wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania. Ni kikundi kinachoundwa na wadada ambao ni waimbaji na wapigaji wa vyombo vya muziki.
 Katika moja ya tamasha walilolifanya 27/8/2017 katika kanisa la New Life Church jijini Arusha, walipokelewa kwa shangwe huku wakiwaacha watu wakiwa hawaamini uwezo waliojaliwa. Mmoja kati ya waliohudhuria, anasema alivutiwa sana na anawaombea kwa Mungu ili wasonge mbele zaidi.

Image may contain: 12 people, people smiling, people standing

Angalia picha zaidi

Angalia video
Previous
Next Post »