PACKAGE OF TODAY: Asili huzaa matendo

Pamoja na shetani kumwambia Yesu badili mawe kuwa mikate ili kuthibitisha ikiwa ni mwana wa Mungu, Yesu hakuthubutu, Si kwamba hakua na uwezo wa kubadili, lakini kwasababu kuwa kwake Mwana wa Mungu kulikua ni Asili yake ambayo haikuhitaji matendo ya nje kuithibitisha. Asili siku zote haitetewi au kuthibitishwa kwa matendo ya nje, hata isipothibishwa inabaki kuwa Asili, ijapokua asili huzaa matendo. Wewe ni mwana wa Mungu kwa kumuamini Yesu, wewe ni asili moja na YESU, adui asikudanganye.
Latest
Previous
Next Post »