Tusifanye kwa kushindana, tufanye kwa ubora wetu tukishirikiana kwa upendo

 Wakati mwingine mashindano na kiburi ni matokeo ya kutotambua karama na kipawa cha mwingine. Ukweli ni kwamba kila mmoja wetu anao ubora katika jambo fulani, hatuwezi kuwa bora wote katika eneo moja, ndio maana tunategemeana

Latest
Previous
Next Post »