Amua na Mungu, haujachelewa

 Si kila jambo linahitaji uharaka katika kuamua. Muda ni kipimo kizuri cha kutenga hisia na uhalisia. Usiharakishe, jipe muda. Haujachelewa.

Amua na Mungu.

Previous
Next Post »