Kila unaujaza moyo na akili yako ndicho utakachotoa

 Watu hucheua kile walichokula, ndivyo ilivyo kwenye ufahamu, ukiingiza ujinga utacheua ujinga, ukiingiza Neno utacheua Neno. Hakuna neutral,  akili siku zote ipo kupokea, Kama huilishi vya Mungu, Ulimwengu utailisha vya kwake na Matokeo lazima tu yataonekana katika maneno,  mwenendo n.k.

ConversionConversion EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng