Aaron Mlay ni mwimbaji chipukizi wa nyimbo za injili. Ni mzaliwa wa Kilimanjaro Marangu. Amefanikiwa kurekodi nyimbo zake tatu ukiwemo huu wa "Mfalme wa wafalme". Analianza mziki huu mwaka 2016.
Kwa sasa ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki mwenge katika fani ya ualimu, biolojia na geografia. Ana ndoto za kufanya mziki wa jukwaani yaani "live" Pamoja na kuimba pia anaweza kufundisha neno la Mungu hivyo, Aaron ni mwalimu pia.
Yuko tayari kwa mialiko, amefanikiwa kufanya huduma ndani na nje ya Tanzania. Anahitaji msaada wako wa maombi, fedha, ushauri na maoni.
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon