Judith Mbilinyi_Jina la Yesu

Wimbo mpya wa kwake Judith Mbilinyi sasa uko katika media mbalimbali. Mwaka jana ulimalizika kwa kazi mbili ambazo zote zilifanya vizuri. Moja ni wimbo "Wewe Uko Hapa" na wa Pili ni ule wa "Maisha Yangu"
Image may contain: 1 person, smiling, text

Karibu kusikiliza wimbo huo



 
Mawasiliano:
Facebook | | Instagram || YouTube

Email:  judithmbilinyi@gmail.com
Tel: +255 762 372 408,  +255 712 657 950


Previous
Next Post »