Thamani Yangu_Godbless Marandu

Huu ni wimbo wa mwimbaji Godbless Marandu mpya wa mwimbaji chipukizi wa muziki wa injili hapa nchini Tanzania. Ni single ya pili katika albamu ambayo bado hajaipa jina. Wimbo wa kwanza unaitwa "Alfa na Omega", anatarajia kukamilisha albamu mapema iwezekanavyo. 
Facebook | Tel: +255 654 138 575

Mwachie maoni yako hapa


Previous
Next Post »