Best Albert_Kuzaliwa kwake Yesu (Remix)

Baada ya wimbo wake wa kuwatakia Heri ya Sikukuu wapenzi wengi wa Mwimbaji wa nyimbo za injili hapa nchini Tanzania Best Albert, umeonekana kufanya vizuri sana na tayari, Best Albert ametoa marudio ya wimbo wake katika muondoka wa rhumba na umekuwa vizuri sana. Huu hapa sikiliza mwenyewe.


Download

Mwachie maoni yako hapa


Previous
Next Post »