Papaa Rweikiza_Naitwa mbarikiwa

Saimon Rweikiza mshindi wa 4 kwenye mashindano ya GSS sasa yuko mbioni kutoa Albam yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la "Naitwa mbarikiwa". Albam hiyo inatengenezwa na Producer Elisha E. G. Saimon Rweikiza maarufu kama Papaa Rweikiza ambaye ni mwimbaji, kiongozi wa kikundi cha sifa, Dj, mwanzilishi wa huduma ya "Run Ministry" na mjasiriamali hajasita kutoa shukrani zake za dhati kwa watu wote walio msaidia kufikia hatua aliyofikia.
Kwanza kabisa anamshukuru Mungu kwa ahadi zake ambazo ni za kweli, anayejibu maombi na kumpa kibali cha kumtumikia yeye. Pia kumrudishia sifa na utukufu mwenyezi Mungu kwa yote aliyomtendea.
Pia hakusita kuwashukuru, mke wake, mtoto na ndugu wote. Askofu Urio, Prophet Lucas na waamini wenzake.
Shukrani kwa Producer wake, GSS kanda ya kasikazini na watu wote ambao walikuwa wakimwombea na wanaoendelea kumwombea na kumshauri.

"Maombolezo 3:31"_Ujumbe wake kwako

Yuko tayari kwa mialiko mbalimbali.
Huu ndio wimbo wake unaobeba albamu "Naitwa mbarikiwa"
Download


Mawasiliano:
0653624729 au 0768221353

Maoni




Previous
Next Post »