Mahusiano yako na watu wengine, hujenga tabia

"Mahusiano binafsi yako na mtu mwingine, au watu wengine, huchangia kwa kiasi kikubwa katika kujenga tabia yako kibinafsi. Vile ulivyo leo ni matokeo ya jana yako, leo yako inatambulisha ni jambo gani uliliruhusu, ukaweka kambi hapo na kuwekeza katika maisha yako ya jana, na itatambulisha aina gani ya watu uliwaruhusu kuingia katika mfumo mzima wa maisha yako binafsi".
1Kor 15:33

NGUVU_YA_KUAMBATANA

Norah Bernard, Divine Favor
Previous
Next Post »