Kwizera Elijah_Shangwe

Baada ya kutamba na nyimbo Wastahili, na Ngwino sasa mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Zambia ameachia wimbo wake unaokwenda kwa jina la "shangwe". Wimbo huu ni maalumu kabisa kwa watu wanaoanza maisha ya ndoa.



Karibu kusikiliza

 Image result for download img
Previous
Next Post »