Andrew Robinson

Andrew Robinson ni mwimbaji chipukizi wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania. Ni mzaliwa wa mkoa wa Mwanza. Alianza kuimba akiwa mdogo, amehudumu na vikundi mbalimbali Mwanza na huko Kahama mkoani Shinyanga. Ameanza kuimba binafsi mara tu baada ya kujiunga na chuo cha KCMC kilichoko Moshi Kilimanjaro. Hadi sasa tayari amekwisha achia wimbo mmoja unaokwenda kwa jina la NI TAYARI.
Wimbo wa pili na wenyewe katika mfumo wa audio uko tayari na anategemea kuuachia wakati wowote. Wimbo huu unaitwa NEEMA YAKO TU umefanywa jijini Arusha katika studio za Afrob Production chini ya Producer Alex.

Karibu kusikiliza wimbo wa Ni Tayari



Mawasiliano:

 YouTube | Facebook |
WhatsApp/Simu: +255 765 377 611


Previous
Next Post »