PACKAGE OF TODAY: Amani ya pekee haiko kwenye vitu

 Amani isiyozalishwa na wingi wa vitu tunavyovimiliki yapatikana kwa Yesu pekee. Utoshelevu katika dunia hii haupo kwenye wingi wa vyeo, Mali (pesa, magari, Nyumba) tunazozimiliki ila Yesu moyoni na ufahamu sahihi juu ya Yesu 
Previous
Next Post »