Ni kweli nia ya ndani inaweza kuwa ni kutatua tatizo lakini namna au njia tunayotumia kuondoa/kutatua tatizo inaweza kuongeza tatizo lingine na kuleta uangamivu zaidi ya ule wa awali. Kabla hujatatua tatizo ichunguze njia unayitumia kutatua tatizo ili kuepusha ongezeko la Tatizo.
https://t.me/packag4
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon