Salamu za mwaka mpya 2025 kutoka kwa Judith Mbilinyi
"Kuweka mikakati kwa mwaka mpya ni moja ya mchakato ambao sio kila mmoja huweza kuuelewa. Usihofu kujiwekea malengo. Usijihofie, hauishi kwa uwezo wako, Ni Mungu akuwezeshae. Yakusudie mema, weka mikakati na Baba atafanikisha njia yako."
Happy new Year 2025🤍
Ninakupenda🌱
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon