Sekani Nkwabi



Sekani Nkwabi ni mwimbaji chipukizi wa mziki wa injili. Alianza kazi ya uimbaji akiwa "Sunday School" alijiunga na kwaya na baadae kujikita katika mziki wa kuimba mwenyewe. Kwasasa na Album moja tu katika mfumo wa audio. Yuko mbiyoni kurekodi "Video ya Album yake." Anahitaji msaada wako wa maombi. Yuko tayari kwa mialiko. Yuko Iringa.
Mawasiliano:

+255 763 974 400


Download Wimbo
Previous
Next Post »