Mara nyingi nguvu ya kusonga mbele haipo kwenye kuyatafakari yanayokuzuia kwenda mbele, ila katika kujikumbusha mema ambayo Mungu aliwahi kuyafanya nyuma. Usikate tamaa, wala usiruhusu nafsi kuinama. Yatumie mema ya nyuma kama silaha na ushahidi wa mema mengi yajayo mbele yako.
https://t.me/packag4
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon