1Yohana 1:8
Yeye asemaye ya kuwa anakaa ndani yake, imempasa kuenenda mwenyewe VILE VILE kama yeye alivyoenenda.
Ukisema nimeokoka maana yake umekuwa mwana wa Mungu. Ukiona unasema nimeokoka na hufanani na Yesu katika mwenendo na usemi uwe na uhakika bado hujakaa sawa sawa. Ongeza bidii katika kumjua yeye ili uwe na ufahamu sawa na yeye aliyeuumba. (Wakolasai 3:10)
Watumie wengine wengi hata tufike miisho ya dunia.🌍
Contact: 0753812881
Insta- Albert_ochieng
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon