E.M Records yaendelea kufanya Vyema

E. M Records chini ya meneja wake bwana Erasto Augustino Mwashinga imezidi kufanya vizuri zaidi kutokana na ubora wa kazi zinazofanywa katika Studio hizo. Moja ya mashuhuda waliofanya kazi na studio hizo ni Judith Mbilinyi, ambaye tayari amekwisha kufanya nyimbo mbili na studio hiyo. Moja ya nyimbo hizo ni wimbo wa "Maisha yangu" ambao unafanya vizuri zaidi katika mitandao ya kijamii na vituo mbalimbali vya radio station.

 Akiongea na mwandishi wa habari hizi, Erasto anamshukuru sana Mungu kwa kumfanya atumie kipawa chake, pia amewakaribisha watu wanaofanya muziki wa injili ili waweze kutengeneza nyimbo zenye ubora kwa bei nafuu zaidi.

Image may contain: text
Studio hizi ziko Arusha,
Simu: 0717 381 981

Facebook || Instagram
Previous
Next Post »