Video ya Kuna namna yawagusa Wengi

Wengi walikuwa wakisubiri kwa hamu video ya kuna namna kutoka kwake mwimbaji wa injili nchini Tanzania, kaka Rogate Kalengo na baada ya kutoka kweli utaona ni kwa jinsi gani watu walikuwa na shauku ya kuitazama.

Karibu tazama wimbo huo...., usisahau kusambaza, pia ku 'subscribe' kwenye 'channel' yake ya YouTube ili kupata kila anachokiweka.

YouTube Channel
Previous
Next Post »