PACKAGE OF TODAY: Thamani Yako imebebwa na uwepo wako

 Mia mbili haijawahi kuwa na thamani ya elfu kumi. Wala elfu kumi kuwa na thamani ya mia mbili ijapokuwa zote ni Fedha. Ni kawaida ya wanadamu kutambua uthamani wa kitu pale kinapotoweka, lakini ukweli ni kwamba uthamani wa kitu upo kwenye kitu chenyewe.. Jifunze kuheshimu watu kwasababu thamani yao imebebwa na uwepo wao.

https://t.me/packag4

Previous
Next Post »