PACKAGE OF TODAY: Jawabu la upole hugeuza hasira

Jawabu la upole hugeuza hasira.. Wakati mwingine kinachochochea ghadhabu ni aina  ya jawabu ulitoalo. Kushuka chini si kujipunguzia thamani, ni njia ya kuleta suluhisho kisha kuelekezana kwa upendo, na kufikishana kwenye usahihi.
Ongea kwa Hekima
https://t.me/packag4
Previous
Next Post »