PACKAGE OF TODAY: Wachache husimama na mtu kwenye changamoto

Wachache husimama na na mtu  kwenye mchakato.  Wengi husimama na mtu  kwenye matokeo.

Kuwa sehemu ya mafanikio ya mtu  haipo kwenye kuyafurahia matokeo ila  ipo katika kushiriki kikamilifu kwenye mchakato unaompeleka mtu  kwenye matokeo.

Ni furaha kuwa sehemu ya mafanikio ya wengine. Amue Leo kuwa mmoja kati ya wachache wanaovutwa na mchakato wa mtu kuliko matokeo.

https://t.me/packag4

Previous
Next Post »