PACKAGE OF TODAY: Kaza mpaka imekua

 Gharama ya matokeo haipo kwenye muonekano ila mchakato nyuma ya matokeo. Kukwepa mchakato ni kukwepa matokeo thabiti. Usitishwe na wachache wanaovutwa na wewe katika mchakato wa kuendea matokeo thabiti. Ni kawaida ya wanadamu kuyaelewa matokeo na si mchakato.

Endelea kukaza mpaka imekua. Usikate tamaa. Keep pushing even though it's hard. 🥰

https://t.me/packag4

Previous
Next Post »