Pendo likiwa hisia, hisia hazidumu, zina ukomo.
Siku hisia zikiisha pendo nalo huondoka..
*Hatuhisi kupenda, tunawajibika kupenda*
You have to love even when you don't feel to love.
Unatakiwa kupenda hata pale usipohisi kupenda.
*#Goodmorning🥰*
https://t.me/packag4
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon