Peace Donatus_Nakupenda Yesu

Video mpya kutoka kwa mwana Sound Of Worship, Peace Donatus unao kwenda kwa jina la NAKUPENDA YESU. Wimbo huu ni moja kati ya nyimbo mbili zilizo katika mfumo wa video wakati nyimbo nyingine tisa (9) zikiwa katika mfumo wa audio. Zote hizi zitakujia hivi karibuni.

Karibu kutazama.


Mawasiliano:

Instagram | Facebook | YouTube|
Email: peacedon2017@gmail.com
WhatsApp: +255 744 008 503

Previous
Next Post »