Showing posts with label Maneno ya Hekima na Hamasa. Show all posts
Showing posts with label Maneno ya Hekima na Hamasa. Show all posts
Angalia aina za marafiki wanao kung'ang'ania
"Kuna aina ya watu (marafiki) unapowang'ang'ania unamzuia Mungu kusema nawewe. Unamzuia Mungu kukupeleka hatua nyingine, una...
Read More
Wewe ni mtoto wa Mungu
"Wewe ni mtoto wa Mungu, mtawala, unatawala naye, umeketi alipoketi Kristo, umeumbwa na kutengenezwa kwa ajili ya ukuu na mambo makuu n...
Read More
Ndege wafananao huruka pamoja
"Ndege wanaofanana huruka pamoja, wewe wafananishwa na tai, yakupasa kujifunza tabia za tai, ufahamu ni mazingira gani tai anaishi, nin...
Read More
Watu unaoandamana nao, watakufanya uone mbali au karibu
"Vile unavyoona na kwa umbali wa kiasi gani unaona, kwa sehemu kubwa inachochewa na aina ya watu ambao unawaamini sana kuliko unavyojia...
Read More
Kuwa makini na unaowaruhusu katika maisha yako
"Kuna mtu au watu au makundi ya watu ambao huwa tunawapa nafasi kubwa ya kuingia katika maisha yetu kibinafsi na kujiambatanisha nao ...
Read More
Mahusiano yako na watu wengine, hujenga tabia
"Mahusiano binafsi yako na mtu mwingine, au watu wengine, huchangia kwa kiasi kikubwa katika kujenga tabia yako kibinafsi. Vile ulivyo ...
Read More
Subscribe to:
Posts (Atom)
